Chelsea yamsajili falcao

image

Mshambuliaji wa Fc Monacco Redemel Falcao anatua Chelsea kwa mkopo na pia mchezaji wa Crotia Pallic atatua Monaco

Natamani nianze kufanya mazoezi sasa ili nlinde taji letu la ligi kuu England alisema Falcao

Advertisements