Mtoto akatwa uume

Mama mmoja amemkata mtoto wake wa kambo uume kwa madai kuwa anajikojolea sana kitandani na anamuharibia starehe yeye na mume wake. Mtoto ana umri wa miaka mitatu akijikojolea hilo ndiyo suluhisho mama zangu Acheni ukatili kwa watoto wa wenzenu..

Advertisements